Nimetembelea Kwa huyo Aziz pale City Mall, Jeans Junction Kariakoo Na maduka mengi Jeans ninazikuta nyingi Ni hizi za kubana chini za kibongo flavour! Siku zote nimekuwa nikiagiza nje ila Kwa sasa Hali yangu kidogo Si mzuri nikaona ngoja nijaribu hapahapa lakini naona sipati vitu nataka. Kingine kiliniboa hapo lwa Aziz nilikuta Jeans nyingi Ni Za aina moja yaani fashion Jeans hizi za kubana chini wanavaa wasanii sasa Mimi napenda Jeans Standard yaani Straight and Slim fit.Mi nae mkubali ni azizi huyo wa house of jeans city mall na kariakoo au unasemea mwngne mkuu
Nenda Woolworth pale Baraka Plaza Mikocheni au PPF Towers city center.Yes mkuu..mfano Levis 501 na nyingine za aina hiyo..
Levi's store PPF Tower. Jiandae 501 around 160,000 last time i checked!Wadau mliopo Dar naomba Masada Ni wapi naweza kupata duka linalouza Jeans za kiume za ukweli maana Napata shida Sana ninapotafuta Jeans..hizi za mtumba Ni Za kubahatisha Sana. Nimepita maduka Kama House of jeans naona design nyingi wanazouza Ni Za kicelebrity Zaidi sasa kwa sisi raia wa kawaida inakuwa tabu kidogo. Mahitaji yangu Ni mfano wa Levis nk. Asanteni.
kwa bei hiyo bora kwenda wakati wa sale.Levi's store PPF Tower. Jiandae 501 around 160,000 last time i checked!
Duh, hiyo jeans ina feni au!!Levi's store PPF Tower. Jiandae 501 around 160,000 last time i checked!
[emoji3][emoji3][emoji3]Duh, hiyo jeans ina feni au!!