Lipi hupendi mpenzi wako afanye ... ? Mimi ni hili .. we je?


duh!wewe ni noma!!unaweza kuua mtu
 
Sipendi kile kitabia cha "NIMECHOKA" akati ndo kwanza naanza kupiga mipira ya mbali kutafuta kona muhimu za ushindi na penati za mbindeeeee. M i mapenzi ya LAMUJA LEMEVIDA sijui joh, ikipanda hata upige mayowe natia ufa sound kubwaaaaaaaaaaaaaaa......

Cha kushangaza anakuja kwa sms eti "Jana umenido poa sana"... hahahahahahaaaaaaaa
 
Sipendi mpenzi wangu aniambie story za mpenzi wake wa zamani.
Sipendi mpenzi wangu anidanganye .. hata kwa kitu kidogo.
sijuhi hata nitumie lugha gani maana nitakacho andika hapa lazima watanibrock au wataibana msg yangu
so wacha lipite tuu
 
Nimecheka mpaka wanzangu wananishangaa! je ni kila siku? au mkiwa mmeudhiana?
wangu anavaa gauni na suruali na sweta juu na kichwani anafunga kilemba kinafungiwa shingoni ,,,,,,,,,,,sipendi
 
sipendi anipe ali mradi tu kuniridhisha............ raha kila upande tugonganishe mikojo chawa chawa....
 
Sipendi mpenzi mwenye uwezo mdogo wa kufikiri na kutafakari mambo ya kimaisha.
Sipendi mpenzi anaeambiwa jambo halafu baada ya muda mfupi analisahau.
 
Sijui Sipendi nini............... Ngoja ni-Google.:israel:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…