MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Hellow sissy niaje?? Sidhani kama unaweza kutomuonyesha mtu mapenzi uliyonayo kwake. Ni ngumu kwa kweli labda kama humpendi kwa dhati ndo unaweza fanya hivyo. lakini kama ndo yuko kumoyo husikii huelewi la mtu haiwezekani. Labda wengine waja hapa na experience tofauti tuwasikie
Ni kweli The Boss nakubaliana na wewe kabisa kuwa kama umeumizwa itakuchukua muda kuonyesha mapenzi ya kweli kwa mwenzi wako. But ni ngumu kwa mtu ambaye hajawahi kuumizwa lets say ndo mpenzi wa kwanza huyo. Mimi nadhani kuumizwa kwenye mapenzi ni bahati ya mtu- si kitu ambacho unawezapanga kuwa nitahakikisha mapenzini siumizwi na ni jambo la kumshukuru MUNGU au?Kama umewahi umizwa kweli kweli
inakuwa ngumu kujiachia kabisa na mpenzi mpya
tahadhari inakuwepo,mpaka mda mrefu upite ndo utajikuta umejiachia....
Mwanajamii One;
Hakuna ubaya kuonyesha mtu kwamba unampenda; na hata kama ni lawana, naamini kwamba suala si kuonyesha unampenda mtu zaidi, bali ni kumuonyesha mtu kwamba u-mnyonge
more to come...
Babu bana.... haya shkang'Mj1 shkang!
Huwezi kuplan kumwonyesha mtu kama unampenda au laa. Hivi vitu vinatokea nachurale. We unaweza fikiri humwonyeshi kama unampenda kumbe ndiyo unamwonyesha mpaka ndugu, jamaa, marafiki na maadui wanaona.
So; kama unapenda mjukuu wangu MJ1, there is no way, mpenzio atajua tu. And otherwise of course.
Mwanajamii One;
Hakuna ubaya kuonyesha mtu kwamba unampenda; na hata kama ni lawana, naamini kwamba suala si kuonyesha unampenda mtu zaidi, bali ni kumuonyesha mtu kwamba u-mnyonge
more to come...
Babu bana.... haya shkang'
Ok sas anaelewa wanaonigombezaga kuwa nilimwonyesha sana kuwa namp[enda sana sasa inakula kwangu huwa wananionea tu bure!:sick:
more BEERS,MORE VALUUUZ,MORE and MORE and MORE SAVVANAAZ[/B][/U]
We waiting for more
Wapendwa natumaini wote mu wazima na mnaisubiria weekend kwa hamu.
Ninaomba mnisaidie katika hili.
mara nyingi huwa tunapokumbwa na mikasa ya mapenzi hasa tukitendwa na wenzi wetu huwa tunapata lawama kuwa tulionyesha sana kuwa tunampenda. na wanadai kama mtu akionyeshwa kuwa anapendwa sana badsi matokeo yake ni kukuumiza.
Swali jipi ni jema:
1. kumwonyesha kuwa unampenda sana au kutomwonyesha?
2. Kama ni kutomuonyesha- how to do that? Unawezaje kutomwonyesha mtu unayempenda kweli kuwa unampenda?
Karibuni na Aksanteni.
Mylove
...sweetheart, kwani unamuonyeshaje mtu kuwa unampenda? nadhani kumpenda mtu ni 'natural' tu wala haihitajiki kumuonyesha unampenda as if maisha ni Isidingo.
What I mean is, huna haja ya "kumuonyesha" mtu kuwa unampenda, wewe mpende tu mwenyewe atatafsiri anapendwa au la.
...or, did i miss your point swhr?
Wanakuonea mjukuu wangu. Labda kama wao hawajawahi au hawajui nini maana ya kupenda.Babu bana.... haya shkang'
Ok sas anaelewa wanaonigombezaga kuwa nilimwonyesha sana kuwa namp[enda sana sasa inakula kwangu huwa wananionea tu bure!:sick:
Wapendwa natumaini wote mu wazima na mnaisubiria weekend kwa hamu.
Ninaomba mnisaidie katika hili.
mara nyingi huwa tunapokumbwa na mikasa ya mapenzi hasa tukitendwa na wenzi wetu huwa tunapata lawama kuwa tulionyesha sana kuwa tunampenda. na wanadai kama mtu akionyeshwa kuwa anapendwa sana badsi matokeo yake ni kukuumiza.
Swali jipi ni jema:
1. kumwonyesha kuwa unampenda sana au kutomwonyesha?
2. Kama ni kutomuonyesha- how to do that? Unawezaje kutomwonyesha mtu unayempenda kweli kuwa unampenda?
Karibuni na Aksanteni.
kupenda nusu siwezi asilani, despite the fact that nimeshaumizwa sana yaani huu umoyo ulishavunjika mpaka there are no more pieces to break.
binafsi naona ni ngumu kwnza ntajitesa mwenyewe tu, I can only be happy when I show my love in full lakini matokeo yake sasa.........yantegemea mtu na mtu!!