Future president
Senior Member
- Dec 30, 2013
- 144
- 39
Habari zenu wana jf,napenda tuelimishe watz wenzetu kuhusu jina halisi la hawa wadau wanaojadili rasimu ya pili ya katiba ya tanzania,ni jina lipi ambalo wanaitwa,mana nikipitia vyombo vingi vya habari wanachanganya wengine husema "wabunge wa bunge la katiba" wengine wajumbe wa bunge la katiba ipi sahihi