Ultimate
JF-Expert Member
- Nov 29, 2016
- 739
- 1,888
Kila member hapa jf, kuna jukwaa moja analipenda sana yani uki log in tu break ya kwanza ni hilo jukwaa.
Mm jukwaa nalo likubali sana hapa jf ni -Jamii photos- na pia kwenye hili jukwaa Thread nayo ikubali ni -JF V.A.R- hili jukwaa nalikubali kwa sababu picha nyingi zinavutia na nyingine zinafurahisa pia mda wa kukua kusoma maelezo kwangu ni mdogo nikiona tu picha naelewa haraka
je? Jukwaa lako ni lipi?, na nini kinakuvutia kwenye hilo jukwaa?.