bbwaoy JF-Expert Member Joined Apr 17, 2015 Posts 466 Reaction score 468 Mar 12, 2018 #1 Unapokesea jambo.... Neno gani sahihi zaidi "Samahani" Au " Kumradhi " Mf. Samahani siku jua kama nili kosea. Kumradhi siku jua kama nili kosea. Ruksa kuni rekebisha.
Unapokesea jambo.... Neno gani sahihi zaidi "Samahani" Au " Kumradhi " Mf. Samahani siku jua kama nili kosea. Kumradhi siku jua kama nili kosea. Ruksa kuni rekebisha.