Lipi neno sahihi?

Samahani kwanza, naomba kuuliza...!
Je una asili ya kutokea Asia (Eshia).
 
Kwa nini hukutolea mfano:-
Mama wangu
Baba wangu...ukakimbilia huko Ujombani...!

Tazama sasa unajichanganya..[emoji23] [emoji23]
Mtoto wa nje ya ndoa hamjui baba
 
Mtoto wa nje ya ndoa hamjui baba
Ulipo msikia Mama akikwambia nenda kwa Mjomba wako ulikuwa humuelewi...!

Mjomba wako - mmoja
Wajomba zako- wengi

Tazama na tafsiri ya maneno yanayo kutatiza, ujiongeze kidogo.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…