Samahani wana JF Kunamaneno fulani ya kiswahili yamekuwa yakinichanganya.
-Neno Kukoga na Kuoga.
Mimi nahisi neno kukoga linatokana na neno mokogo. Lakini neno hili kukoga limekuwa likitumiwa hata mtu akienda bafuni kuoga anasema naenda kukoga.
Jamani naomba ufafanuzi juu ya hili