Lipi ni swali sahihi: 'Kipi Kikuchekeshacho' au 'Kipi kikuchekeshechacho'?

Lipi ni swali sahihi: 'Kipi Kikuchekeshacho' au 'Kipi kikuchekeshechacho'?

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Posts
20,328
Reaction score
23,909
Salaam,
Hamjambo maashiki wa lugha aali, tukufu, adhimu, na johari ya kiswahili.

Ama baada ya salamu naomba mnisaidie kutongoa jambo lililonitatiza kama kichwa cha uzi kisemavyo.

Unapomuuliza mtu kutaka kujua jambo lililomfanya acheke, je unasema;

- Kipi kikuchekeshacho?

AU

- Kipi kikuchekeshechacho?

*Nimejaribu kuangalia kwenye tovuti lakini sijapata jibu la swali langu.

Natanguliza shukrani za dhati. Ikiwezekana kuninyambulia pia mzizi wa neno hilo ningefurahi zaidi.

Naomba kuwasilisha,
Mentor.
 
Back
Top Bottom