Lipi sahihi?

Lipi sahihi?

Lizy

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Posts
412
Reaction score
293
Kuna sehemu/eneo flani katika Jiji la Mwanza linanichanganya jina. Naomba wadau mnisaidie lipi sahihi kati ya haya;

Pasiansi
Pansiasi
Pasiasi
Pansiansi

Asanteni.
 
ni Pasiansi......kule kwenye airport!! ukipata taabu na vitu kama hivyo google tu. mfano uki-google, Pasiansi, Mwanza utapata hits kibao!!
goodluck.
 
Back
Top Bottom