Hellow mjasiriamali
Kama ujisajili jina la biashara brela Kuna kitu kinaitwa annual maintenance Fee, ngoja nikwambie hapa.
Brela wanakuhitaji wewe ulipie annual maintenance fee ya jina la biashara Yako kuli-keep active.
Hii fee inalipwa mara Moja kwa mwaka na ni Tsh. 5000
Ngoja nikuoneshe namna ya kulipia kwa steps
1. Tembelea website ya Brela
2. Log in kwa kutumia details ulizotumia kufungulia hio account.
3. Chagua business name Kisha chagua "payment of annual maintenance fee"
4. Jaza namba ya usajili ya biashara
5. System itakupa control number hapo hapo
6. Lipia kwa simu au Bank.
Ni simple kama hivyo.
Hey, naitwa luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe Kusajili biashara, Kampuni na leseni.
Kama unapata changamoto kulipia annual maintenance fee au unahitaji msaada Kusajili Kampuni na biashara unaweza kunitumia ujumbe Whatsapp kupitia namba hizi.
0678131068
Your Favorite lawyer