Lipo jambo fiche- huenda

Lipo jambo fiche- huenda

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Lini mlishuhudia kaabiri kwenda nje na kurejea siku lilelile!?

Lini alidumu na kuzunguka kwake kutafuta na kupima upepo wa ki siasa kama ilivyo hivi karibuni!?

Lazima lipo jambo tena lililo na hofu ndaniye.

Mda utasema.
 
Kwani baada ya kutoka kuapisha ameenda wapi?
 
Lini mlishuhudia kaabiri kwenda nje na kurejea siku lilelile!?

Lini alidumu na kuzunguka kwake kutafuta na kupima upepo wa ki siasa kama ilivyo hivi karibuni!?

Lazima lipo jambo tena lililo na hofu ndaniye.

Mda utasema.
Umeandika nini hapa..?

Mbona hii ni kama meseji kwenda kwa hawara yako na bila shaka imekosea njia na kutua kimakosa JF, au siyo wewe Asante CCM ?
 
Hivi hio safari nyingine ni lini kati ya siku mbili hizi ?
 
Back
Top Bottom