Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Umeandika nini hapa..?Lini mlishuhudia kaabiri kwenda nje na kurejea siku lilelile!?
Lini alidumu na kuzunguka kwake kutafuta na kupima upepo wa ki siasa kama ilivyo hivi karibuni!?
Lazima lipo jambo tena lililo na hofu ndaniye.
Mda utasema.
Karejea kwake mbio isivyo kawaida yake!Kwani baada ya kutoka kuapisha ameenda wapi?
Pole!Umeandika nini hapa..?
Mbona hii ni kama meseji kwenda kwa hawara yako na bila shaka imekosea njia na kutua kimakosa JF, au siyo wewe Asante CCM ?
Hivi karibuni.Hivi hio safari nyingine ni lini kati ya siku mbili hizi ?
Ajaliwe kwenda na kurudi salama .Hivi karibuni.