Lips kukauka na kutoa magamba

Lips kukauka na kutoa magamba

Tobido

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
331
Reaction score
76
Habari Wadau. Nna tatzo toka nmezaliwa lips zangu zinakauka na kutoa magamba hivyo inabidi niyatoe kwa kukwangua na mkono au kung'ata lips. Je kuna dawa ya kutibu hii kitu coz inanikera kwa kweli.
 
Pole kwa tatizo... Kama mdau mmoja alivyopendekeza inawezekana ikawa ni upungufu si tu vitamin C bali inaweza ikawa vitamins kadhaa na madini.. Ukipata multivitamins na mineral supplements itasaidia.. Pia uwe unatumia lip bam kila wakati ili kuzuia kukauka na kutoka magamba
 
Tafuta mpenzi mpige mabusu ya ukweli! Hiyo inatokana na ukosefu wa mate ya upande wa pili!
 
Ahsante. Hizo multivitamins na mineral supplements naweza zpataje ?
 
Tuna brands za vitamin c ni nzuri kuliko zote zilizopo sokoni saiv zinaitwa absorbent c, zina mchanganyiko wa oat bran inayofacilitate absorption ya vitamin c ina vidonge 100 inauzwa 28,0000. Pia tafuta lip balm inasaidia sana kwa tatizo lako niliyo nayo inauzwa elf 7 ni kiwango cha kimataifa na itakusaidia. Ukihitaji ntafute 07 (52) 15 720276 kwa voda na tigo Thanks.
 
Ahsante sana. Hiyo lip bam ikoje sio ya kike kweli ? BTW nitatakiwa kumeza hizo vitamins kwa mda gani ?
 
Ahsante. Hizo multivitamins na mineral supplements naweza zpataje ?

Pitia pharmacy kama Care pharmacy karibia na best bite au Platnum pharmacy opposite na shoppers plaza...Kuna wafamasia watakusaidia
 
Tafuta mpenzi mpige mabusu ya ukweli! Hiyo inatokana na ukosefu wa mate ya upande wa pili!

uhuhuhuhu!!!!! sijui watu wengine akili yao inafikiriaje! yaan out of topic!
 
Back
Top Bottom