Lipuli yafanikiwa kurudi ligu kuu ya Tanzania (VPL)

Lipuli yafanikiwa kurudi ligu kuu ya Tanzania (VPL)

Lipuli vs Lipuli?

Hongereni vijana, msishuke tena kama wale jamaa wa Tanga
 
Lipuli vs Lipuli.... hahahahahah haya bhana naona furaha imezidi akili.
 
Hii timu ndio ilikuwa inalalamikiwa kubebwa?
 
Hizo timu za kugawa pointi kwa Simba na Yanga wala sizipongezi,ligi imekuwa kama ya Spain,angalau Azzam wanatoa ushindani.
 
Wawaletee jersey wanyalukolo kama wanyakyusa wasumbue jiji
 
Lipul vs lipuli kweli kama ndio hivyo lazma wapande ligi ,mechi moja. Wachezaji wako wanagawana mapema
 
Karibu lipuli,tukumbusheni enzi za akina 'ikupilika nkoba'
Hii timu ilikuwa lazima ipande tu ama afe kipa au beki!!! Nilishuhudia mechi yao moja mmm, kweli tuna safari ndefu mno ya soka letu!! Siku hiyo ukionekana una smartphone una record game ni shidaaa! Na kuhakikishia amepanda na kushuka ndani ya msimu mmoja yaani ligi daraja la kwanza kuna figisufigisu huko!! Shetani akasomeee
 
Nyela vanyakukaye, mbelembo nano.............natuseme Yilipipi. Tukututane bongo karibu ni sana.
 
Lipul.jpg

OOyeeeeeeeee...!! Welcome back my home Team Lipul Fc... [HASHTAG]#VPL[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom