Ninaomba majina ya wote wanaosema Lipumba muongo,mnafiki,mjinga.. mkiweza kutoa majina yenu tutaamini mnayoongea..
Naweza kuthubutu kusema kwa kinywa kipana kuwa hakuna kiongozi thabiti na mkweli ktk nchi hii kama Pr Lipumba.. alifikia mpaka kuvunjwa mkono kwa kuwatumikia wananchi,uhuru wa siasa za Tz umeanza kupatikana kupitia mgongo Pr Lipumba,maandamano yote alikuwa akiongoza yeye mwenyewe.. Namuamini Pr wa duniani.. Slaa ni makini lkn bado ni mchanga kwa Lipumba,slaa aliwajibika aongee na Lipumba waunde timu moja ambayo ingeongozwa na Lipumba,ungeona moto wake... lkn tatizo letu wapinzani wote kwa jumla kila mmoja anataka awepo juu ya mwenzake.. haya hapo ndipo ccm inapochekelea..