Elections 2010 Lipumba aungane na slaa kuiangusha ccm

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
9,710
Reaction score
2,240
MY TAKE
These two need to join hands right now kabla ya jpli for our nations sake.Am sure Lipumba will be useful kwenye masuala ya uchumi chini ya serikali ya CHADEMA
 
Ingekuwa inawezekana ingekuwa bomba sana. lakini mmmh, sijui kama inawezekana maana CUF imefunga ndoa na ccm. Itakuwa ngumu kuingia kwenye mitara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…