siku zote niliamini kuwa hatimaye ataachiwa huru!
kwa mtu yoyote anayejua corporate governance, hahitaji hata wakili kushunda kesi alyoshitakiwa liyumba au akina mramba, watashinda tu. kumbuka naibu gavana alivyojiumauma katika ushahidi wake.
mawakili wa liyumba wanacheza na tricks za corporate governance tu