ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
Mda wote alikuwa wapi? au baada ya kusikia maridhiano yana taget lisu kuliko mtu yeyote yule.
Hata saa mbovu kuna wakati inapoonyesha muda sahihi.Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema kuwa Tume ya Uchaguzi ilieleza kuwa kati ya wapiga kura walioandikishwa katika Daftari la Wapiga Kura wapatao milioni 37, kati yao milioni 32 walijitokeza kupiga kura, jambo ambalo amelieleza kuwa ni uongo wa wazi.
Akizungumza zaidi, Profesa Lipumba alisema:
"Wakati majaji wa Mahakama Kuu, kwa shinikizo la CCM, wanaeleza uongo wa wazi, Mama Samia anarejea na kusema anawashukuru Tume ya Uchaguzi kwa kuwa na weledi wa hali ya juu. Watu walijitokeza kwa wingi kupiga kura harakaharaka; ilipofika saa 5 wote walikuwa tayari wameshamaliza kupiga kura, hata yale machafuko yalipoanza, tayari kura zilikuwa zimeshapigwa."
Kusema ukweli samuya hamna kitu kichwani, hilo lazima watanzania tulikubali. Tukishakubali kuwa huyu mwanamke kichwani hamnazo wala hatutaumizwa na hizo kauli zake za kufedhehesha na kuhuzunisha badala yake tutatafuta namna ya kumwondoa kwenye hicho kiti ili asiendelee kutuharibia nchi yetuMwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema kuwa Tume ya Uchaguzi ilieleza kuwa kati ya wapiga kura walioandikishwa katika Daftari la Wapiga Kura wapatao milioni 37, kati yao milioni 32 walijitokeza kupiga kura, jambo ambalo amelieleza kuwa ni uongo wa wazi.