Elections 2010 Lipumba kupewa nafasi baraza la Mawaziri?

Kama itakuwa h,basi ni vema CCM na CUF waungane na kuwa chama kimoja!!!
 
Akimchagua tuu nguvu ya Chadema itakua mara mbili zaidi... ni vema akifanya hivyo . Chadema kitabaki chama cha kweli dhidi ya mafisadi.
 
jamani tuwe tunafanya utafiti kabla kuzua mambo. Katiba ya JMT inasema waziri mkuu atatokana na wabunge wa kuchaguliwa.

KAKA! kwani Mizengo amechaguliwa? kama ndiyo ni kwa kura ngapi?
Kiufupi ni kwamba hakuna mwananchi hata mmoja aliepiga kura kumchagua kuwa mbunge.
Pinda akipewa u-PM au mbunge yeyote wanedai amepita bila kupingwa (hajapigiwa kura) basi Katiba ya nchi itakuwa imevunjwa kwa mujibu wa katiba ya URT/JMT kuwa PM lazima atokane na wabunge wa KUCHAGULIWA
 

Jamani wakati mwingine jaribuni kufanya hata kautafiti kadogo kabla hamjaandika. Unajua kabisa kuwa waziri mkuu lazima awe mbunge wa kuchaguliwa. Sasa lipumba ni mbunge wa kuchaguliwa? Nyie ndio mnaojaza database ya hii forum kwa kuandika vitu ambavyo havina maana.
 

At least Pinda ni mbunge either wa kuchaguliwa or not. Sasa Lipumba ni mbunge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…