Elections 2010 Lipumba live on ITV

Naona kuna Ushungi mmoja anamuuliza Lipumba kuhusu Mgombea Mwenza Wa Chadema da, Ama kweli it Lipumba + Mkwere VS Dr. Slaa

Unachukia sana ushungi mkuu? hivi masister wanavaa nini vile kwenye vichwa vyao? Maana huwa nawaona kwa mbali.
 
Sijamponda dr slaa nimesema nikijipima mimi na dr slaa mimi namzidi dr slaa sijamponda ila nimesema vile ninavyoona kwa kutumia utafiti hayo ni maneno yake prof lipumba

hivi mnakwendaga kozi ya kupindisha ukweli? au kuna matatizo kwenye bongo zenu(wewe na slaa) ?
 
Aliongea vizuru sana agape Tv kiasi nilitaka kuamini kuwa siyo CCM B, i was dead wrong!
 
yule mangi mwenye sosho klabu.
 
Atakuwa zubeda wa sikonge yule....

Ha ha ha Unajua bht jana Sikonge na Zubeda waliondoka Kimya Kimya hata Kuaga LoL! Naamini hata Sikonge naye yuko Movenpik
 
mpaka sasa siwaelewi wapinzani kuto kuungana kama kweli wana nia moja ya kuikomboa nchi yetu.

lipumba yeye anajisifia kuwa yeye ni professa kwa hiyo ana uwezo mkubwa kuliko dr slaa. Kasema yeye ni mtani wa kikwete, kwa hiyo anachosema kuhusu ccm ni utani tu. Hivyo anaponda wapinzani wenzake. Hapa anajimaliza mwenyewe.

Hafai huyu kuwa rais. Hatumuhijati kwenye taifa tunayohitaka sisi kwa sasa.

Kwa heri lipumba.
 
Unachukia sana ushungi mkuu? hivi masister wanavaa nini vile kwenye vichwa vyao? Maana huwa nawaona kwa mbali.

Utakuwa Unaumwa Dege Dege lililosababisha kuharibika Sehemu ya Ubongo wako na Ukaharibu hata uwezo wako wa Kuona, ni wapi nimechukia Ushungi?

Kweli wewe Sokomoko sishangai jina lako linajieleza, Ulevi ulevi tu
 
Ha ha ha Unajua bht jana Sikonge na Zubeda waliondoka Kimya Kimya hata Kuaga LoL! Naamini hata Sikonge naye yuko Movenpik
Nilikuwa nasubiri ushtukie mwenyewe, hata kutuaga...mmh

Sikonge nimemuona pale, alikwa kama 'observer' tu, ila darasa bado kwa zubeda kama ulivoshuhudia
 
sikweli hajasema anamuunga mkono dr. Slaa amesema anamuheshimu slaa,nakatika ushindani unataka aseme slaa nibora kuliko yeye?kama unampenda slaa sawa ila usizushe uongo.
 
Nilikuwa nasubiri ushtukie mwenyewe, hata kutuaga...mmh

Sikonge nimemuona pale, alikwa kama 'observer' tu, ila darasa bado kwa zubeda kama ulivoshuhudia

Sikonge Kazi Unayo
 
Kweli swali limekaa kimtego!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…