:eyebrows: Prof. Lipumba anatueleza kwamba Jk hawezi taabu pale anaposema:
"Mheshimiwa Kikwete namjua, nimesoma naye, tangu zamani ni mtu asiyeweza tabu [taabu], asiyependa tabu [taabu] kabisa na ndiyo maana mambo magumu yanayohitaji kujitolea hayawezi, mimi serikali yangu kama itamfikiria basi itampa wizara ya Utamaduni na Michezo."
Source: Majira – 14 september, 2010.
Prof. Lipumba you can't be serious!!! Kwamba Wizara tajwa ni mteremko tu? Wakuu mnasemaje?
wrong!!!!Mimi nafikiri hiki kizazi cha magraduate wa miaka 70 and 80 mpaka kitoke ndipo tutaanza kupata matumaini ya maendeleo TZ. Nafikiri kuna kitu walilishwa pale mlimani!!
:eyebrows: Prof. Lipumba anatueleza kwamba Jk hawezi taabu pale anaposema:
"Mheshimiwa Kikwete namjua, nimesoma naye, tangu zamani ni mtu asiyeweza tabu [taabu], asiyependa tabu [taabu] kabisa na ndiyo maana mambo magumu yanayohitaji kujitolea hayawezi, mimi serikali yangu kama itamfikiria basi itampa wizara ya Utamaduni na Michezo."
Source: Majira – 14 september, 2010.
Prof. Lipumba you can't be serious!!! Kwamba Wizara tajwa ni mteremko tu? Wakuu mnasemaje?
Mimi nafikiri hiki kizazi cha magraduate wa miaka 70 and 80 mpaka kitoke ndipo tutaanza kupata matumaini ya maendeleo TZ. Nafikiri kuna kitu walilishwa pale mlimani!!
Mimi nafikiri hiki kizazi cha magraduate wa miaka 70 and 80 mpaka kitoke ndipo tutaanza kupata matumaini ya maendeleo TZ. Nafikiri kuna kitu walilishwa pale mlimani!!
Kama umeliona hilo la magradutes wa yrs 70 and 80 UD (UVCCM member) kuwa ni tatizo kwa ustawi wa nchi hii macho yako yameuona ukweli sasa. kwanza hawa jamaa wamebebwa sana, wamesomeshwa bure toka msingi hadi chuo, hadi mikate na tsh 50 za matumizi njiani wakati wa kwenda likizo walikuwa wanaipiwa na serikali ya mwalimu.Kumbe mwalimu hakujua, yeye anawafundisha somo la uzalendo na kuwapa exposure za kwenda nje ya nchi wao wanatamani kila kizuri kiwe chao wao tu. Na walianza kutengeneza mtandao wao toka wapo chuo, wana mtandao wengine wamedandia basi kwa mbele. Na wale waliosoma nao na kuwajua hawa jamaa sio wote wametoswa mfano Jenerali ulimwengu,Maalimu Seif, Marehemu Kolimba, Lipumba nk waulize hawa jamaa watakuambia jamaa walikuwa vilaza tu tena mkubwa mmoja ana PASS ya BA. ECO. Hivyo hawa hawana maajabu yoyote watakayo leta kwa taifa hili zaidi ya maangamizi tu. ila jamaa ni mabingwa wa kuongea pia ni wanafiki wanajifanya ni masikini kama sisi kumbe wanamiliki mahoteli ya kitalii Bagamoyo na Ngorongoro na sehemu nyingine. Usoni ni wapole na waungwana na wanaonekana wanajalishida za wananchi ukiwaambia wazitatue ni wazito balaa. ukiwaambia wasughuliie mafisadi wanarukaruka tu maana jamaa zao wengi ndio mafisadi na ndio wanaosimamia biashara zao. kama wakirudi madarakani kweli mama Tanzania umekwisha
:eyebrows: Prof. Lipumba anatueleza kwamba Jk hawezi taabu pale anaposema:
Mheshimiwa Kikwete namjua, nimesoma naye, tangu zamani ni mtu asiyeweza tabu [taabu], asiyependa tabu [taabu] kabisa na ndiyo maana mambo magumu yanayohitaji kujitolea hayawezi, mimi serikali yangu kama itamfikiria basi itampa wizara ya Utamaduni na Michezo.
Source: Majira 14 september, 2010.
Prof. Lipumba you can't be serious!!! Kwamba Wizara tajwa ni mteremko tu? Wakuu mnasemaje?