Lipumba na mwema na kova...mh?:Sijui na ushirika huu wa vyama ktk mission ya Katiba

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
25,260
Reaction score
7,204
Nilisikiliza kwa makini sana matangazo ya Mwema na Lipumba kuhusu kuahirishwa kwa maandamno..nilichosikia kwa mwema, lipumba na Kova ni km nimesikiliza CD moja yenye remix tofauti.

CUF na Lipumba bado sana.....wapo legelege sana kutoka ktk kugeukageuka nyuma...CUF wamtoe Lipumba ili chama kiwe serious kidogo.
 
Na bado huu ni mwanzo mtawatoa wengi chuki,udini unawasumbua
 
haha..udini una positive na negative ...na Ukristu si dini...hembeu eleze vyema ...udini unasumbuaje..?hakuna tofauti na kusema utu unasumbua........
 
Back
Top Bottom