Kabla hujafikia deal la Rada ni lazima IMF imekupendekeza huko nje.... Hakluna shirika la nje linaloweza kuingia mkataba na Tanzania bila kupata baraka za IMF...
IMF wakikutema huwezi kupata kitu, hizo benki na mashirika utafanya kuyasikia tu..
Wataku lebel a high risk country!
Kwa hiyo ni muhimu mfahamu kwa nini huyo kiongozi wa IMF amempigia debe Kikwete kuwa Nyapala baabu kubwa!