Na mi nawashangaa, unajua wangekua wanatuuliza wanaume tungewapa bonge la ushauri. mwingine utakuta ni mweusi kama mie hapa lakini kaweka pinki mdomoni, tena kapaka tu bila hata ujuzi wowote, kucha ndefu kama za kware kapaka rangi nyekundu hata bila utaratibu. jamani huo si uchafu kabisa.