Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatunza fedha bila makato na kuna % ndogo inaingia huoni km ni faida hiyoKule sio kutafuta faida, kule tunatunza fedha.
Kaka ni "Moja"Pia wazoefu watueleze system ya UTT inatoa percent siku za kazi tuu yani (Mon - Fri) au ni siku zote haijalishi ni w/end au public holidays ,Me nna hisi mambo mawili 👇🏻
Moja
Inawezekana system yao haifanyi kazi siku za w/end na public holidays lakini percent ya hizo siku inakuja kuingia siku ya week itakayofuata
Mbili
Inawezekana system yao imelenga kutoa percent kwa siku za kazi tuu yani (Mon-Fri)
Wenye uzoefu zaidi watakuja kutupa mwanga
Asante sana mkuu kwa hiliKaka ni "Moja"
Nilimsaidia jamda kuwekeza huko, na nikawa nafuatilia hesabu za kila siku pamoja na weekend.. Nikaja kung'amua yafuatayo;
1. Wanafanya kazi Mon - Fri isipokua siku za sikukuu.
2. Wana post maongezeko ya thamani za vipande "by end of work hours" ya siku ya MWISHO ya kazi (kabla tu ya siku hiyo ya kupost), hivyo Wed wanapost za Tue, Thur za Wed, Frid za Thur, Mon za Friday, Tue za Mon LAKINI HII inakuwa muendelezo wa Sat, Sun na Mon - kwa mfano Kama Sat thamani ya kipande ilifikia 100.1001, Sun ikasoge kuwa 100.2003, Mon akaenda kurwa 100.3005 BASI Tue watapost thamani ya kipande ya 100.3005 (inayojumuisha za Sat, Sun na Mon).
3. KILA wanapo-post ongezeko la thamani za viande, pia hufanya mahesabu ya Muekezaji - hivyo utaona kwenye akaunti yako muongezeko UNAOTAKIWA UENDANE NA THAMANI MPYA YA KIPANDE.
Nimejifunza mingine pia, lakini kwa kujibu swali lako nafikiri hii inatosha.
Angalizo: Jibu hili limetokana na ufatiliaji wangu wa akaunti ya Ukwasi (Liquid Fund) ambayo niliifuatilia kwa karibu kwa mwezi mzima nikiwa nimepewa jukumu lakkufanya hivyo na muhusika wa akaunti hiyo. Nipo tayari kusahihishwa.
Shukrani mkuu,Kaka ni "Moja"

Yes mkuu inawezekana, Lakini pia mifuko imetofautiana terms na conditions
Ni kweli kabisa , Kama una Hela ya mboga achana na hii biasharaHii biashara inawafaa wenye mzigo mkubwa tu.
Ni sawa na 3500 kila siku 😂😂😂😂