Wakoloni mamboleo hatuwataki na wala hatutawapa nafasi kutuchagulia viongozi. Sisi tuna akili zetu tunapima mambo na kila kauli ya mtu, ki msingi viongozi wetu tutawachagua wenyewe si kwa mashinikizo
William, nadhani hata na wewe umefulia kisiasa kama mzee. Unamtetea Kikwete? bwana heshima zangu kwako imekwisheneeeeeey
Kaka naandika kukujibu... Huku natetemeka... mdogo wako Ipi angekuwepo angekuwa amekwenda upinzani... Tena CHADEMA!!! CREDIBILITY YAKO IMESHUKA KAMA ... JCM...
- Ninatetea taifa langu kutoingiliwa na Wazungu tuliowafukuza bila kupenda, kama for that heshima yngu kwako inashuka so be it,
ila wazungu watuachie taifa letu maana sasa tuko huru kuamua mambo yetu, maana ni hao hao ndio waliotuletea hizi political confusions in the first place!
William.

- Credibility yangu imeshuka kwa kumtaka mzungu anayetoka kwenye familia ya wizi, kutoingilia mambo yetu na kujali ya taifa lake, then ni afadhali niwe sina credibility kabisa kuliko kukubali kuamuliwa na huyu dada mzungu kutoka familia ya wizi wa ajabu nani ananifaa kuwa Rais wangu huku Africa, unajua utumwa uko wa aina nyingi sana ndugu yangu!
William!

Bwana Malecela wewe ni mtu nakuheshimu sana katika hoja mbali mbali za kiuchumi na ufisadi tunazozijadili humu jamvini lakini nikuulize kuna kosa gani kwa mzungu kusema wewe kama ni tax payer usikubali hela yako ikaenda kuhudumia familia fulani ya kiteule? Kutushauri kuwa tuwe tunawaangalia yakinifu watu wanaokula rasilimali zetu. Au wewe unataka wale wazungu ambao hawakuambia kitu na kukufagilia kila siku kuwa unafanya vizuri just kwakuwa wana interest zao nchini kwako? Hebu tube hoja zenye akili nikubaliane nawewe otherwise mkuu naona naanza kutofautiana na wewe!!!
Hoja zake umezisoma lakini? Hayo ya familia yake au ni mzungu sioni uzito wake.
Wakoloni mamboleo hatuwataki na wala hatutawapa nafasi kutuchagulia viongozi. Sisi tuna akili zetu tunapima mambo na kila kauli ya mtu, ki msingi viongozi wetu tutawachagua wenyewe si kwa mashinikizo
Lisa Rockeffeller kapewa ban kwenye JK Facebook
AT least wao wamemwaga takriban dola milioni 4 ..wewe na vilaza wenu mmefanya nini?Upumbavu wa kuthamini watu wa nje!
kuna watu wa ajabu sana mkuu,mie ngoja nirudi kwenye jukwaa la michezo manake nimeingia huku dakika tano tu nimeshikwa na hasira ghafla.
Mkulu, mie siondoki hapa kwene siasa..tutabanana hapahapa na hawa masultan, koo, vimada na masahiba zao..hakuna kuwaachia.kuna watu wa ajabu sana mkuu,mie ngoja nirudi kwenye jukwaa la michezo manake nimeingia huku dakika tano tu nimeshikwa na hasira ghafla.
kuamua mambo yako yepi tena, raisi wako unayemtaka, kila kitu anachokiongea anaseama aatapewa na wazungu, alafu wewe huwataki
rudi nyumbani mkuu tuje tufanye mambo yetu wenyewe
Ujumbe umefika... Mugabe ana akili lakini kikwere zero kabisa Bwa ha ha ha ha