Lisemwalo lipo. Hii habari imenikwaza sana.

Haiewezekani, millions of transfers gossip hakuna ya maana, kwa maneno ya mchambuzi huyu, edo anatabia ya kutaka kuishusha Daraja timu. Edo alimsumbua sana Ferguson, mzee wa watu alikaa na mafamba ya akina O'Shea, nk kwa muda mrefu nashangaa kina Ashley, smalling wapi, kaja Moyes wapi, kaja Van gal wapo, morinyo akaja na akaondoka wamoo, lol kaja baby sosha wamoo
 
Kama halipo kaja. Watafurahi wakiona tunashika mkia
 
Haiewezekani, millions of transfers gossip hakuna ya maana, kwa maneno ya mchambuzi huyu, edo anatabia ya kutaka kuishusha Daraja timu. Edo alimsumbua sana Ferguson, mzee wa watu alikaa na mafamba ya akina O'Shea, nk kwa muda mrefu nashangaa kina Ashley, smalling wapi, kaja Moyes wapi, kaja Van gal wapo, morinyo akaja na akaondoka wamoo, lol kaja baby sosha wamoo

Woodward hajafanya kazi na Ferguson acha kutudanganya wewe.
 
Back
Top Bottom