mwisho2016
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 724
- 625
Haiewezekani, millions of transfers gossip hakuna ya maana, kwa maneno ya mchambuzi huyu, edo anatabia ya kutaka kuishusha Daraja timu. Edo alimsumbua sana Ferguson, mzee wa watu alikaa na mafamba ya akina O'Shea, nk kwa muda mrefu nashangaa kina Ashley, smalling wapi, kaja Moyes wapi, kaja Van gal wapo, morinyo akaja na akaondoka wamoo, lol kaja baby sosha wamoo