Lishe zenye kinga mwilini pia kuzuia magonjwa

Lishe zenye kinga mwilini pia kuzuia magonjwa

D-wiles

Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
7
Reaction score
4
Karibu tujifunze lishe Bora zenye Kinga mwilini

1: Kuna lishe ya protini
Hii lishe usaifia nu lishe inayoitajika mwilini kwa Kasi kubwa kwani husaidia kukuza Mwili, pia huzuia magonjwa Kama kwashiakoo, marasmas na kazalika unashauria kutumia Sana

2: Carbohydrate au wanga
Lishe hiii Sina tatizo nayo Sana Kwan watu wengi hutumia, huzuia magonjwa Kama kupotewa na joto mwilini pia nguvu, hii lishe kazi yake n kuongeza nguvu pia kuwezesha joto mwilini

3: Raughage au Vyakula vyenye asili ya kambakamba
Hii upatikana katika Vyakula Kama ndizi. Hii huzuia magonjwa Kama constipation au stuli
Asante Sana!

Karibu tujadili pamoja
 
Mkuu, samahani, hivi wewe ni mchina unaejaribu kuandika katika lugha ya kiswahili SI ndio?
 
Back
Top Bottom