jamal9090
New Member
- Nov 14, 2024
- 2
- 6
πππππ πππππ πππππππ ππππππππ πππππ
π ππ πππππππππ πππ πππππ.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameonesha mfadhaiko mkubwa, baada ya kukiri hadharani kuwa chama chake kimepoteza zaidi ya wanachama 50,000 kwa mpigo.
Ushuhuda huo umetolewa na Lissu baada ya kuonekana kuna kundi kubwa la wanachama wa CHADEMA limegoma kulipia ada za uanachama, huku wengine wakiacha kukiunga mkono chama hicho katika shughuli mbalimbali.
Hofu na mashaka makubwa yametanda ndani ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, kutokana na chama chao kupoteza wafuasi hali inayoonyesha kushuka kwa kasi kwa ushawishi wake kwenye jamii.
Wanazuoni wa sayansi ya siasa wanaihusisha hali hiyo na migogoro iliyodumu kwa muda mrefu, ambayo imezalisha makundi na mpasuko mkubwa ndani ya CHADEMA ambao ni ishara ya anguko kubwa la kisiasa la chama hicho, kwani tayari kimeonekana kuyumba na kupoteza mvuto.
#JamboTv
#TupoKukuhabarisha