Elections 2010 Lissu Aleta Tabu

We kweli mtu wa pwani mvivu hata kufikiri!!
 
wewe ndo umeishiwa kabisa! yani kutoa gari kwenye msafara ndo uchanga??? Mbayuwayu kashikishwa cheque imeandikwa laki tatu kwa maneno, na laki mbili kwa tarakimu, naye kakamatia ameduwaa like a mbayuwayu he is!!
Zaidi nimeipenda signature yako aisee, hivi unajua ni kukweli kabisa?
These CCM pipo wanaufundisha umma kuwa kufanikiwa huitaji kufanya kazi kwa bidii na maarifa bali hata njia za ujanja ujanja zinafaa as long as upo CCM. What a shame? Tutaendelea kweli kwa mtindo huu?
Hebu CCM tokeni huko,
AWAY WITH CCM, DOWN WITH CCM, TO HELL WITH CCM....!( ...continue the chant if you can.....).........
 

A mad man singing alone.Away with insanity,away with dreaming
 

Nyau
 
Omar,

Issue ya udini sikuianzisha mimi hapa. Mimi najibu moto kwa moto.

U sound like yule Reverend wa Florida, USA.....

Keep it up and continue to push some genuine CHADEMA sympathizers into into the hands of others...
 
Send this message to 50 people

 
Last edited by a moderator:
TandaleOne, Mtu wa Pwani, Joka kuu... is this a story to discuss?!!!!!!!!! (Ndo maana nasema siku hizi CCM inaungwa mkono na vichwa maji...)

My aim was to spark something beyond this story.
 
Tuma ujumbe huu kwa watu 50 thanks

 
Last edited by a moderator:
mbona hata jk , jumatano wiki hii, msafara wake ulisimama ghafla, na kwenda msalani, kwa mzeemaulid swai, tarakea, ROMBO?
 
Jaribu kuongea na watu wenye akili zao wenye kadi za CCM kama utasikia hizo pumba unazosema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…