Lisu anaongelea tu majimbo kujiamulia mambo ila haelezi gharama za uendeshaji jimbo litatoa wapi
Anaeleza kijanja janja huku akificha kuwa uendeshaji jimbo unatakiwa uendeshwe kwa pesa za ndani ya jimbo ikiwemo miradi ya maendeleo
Chukulia Singida tegemeo lake kuu la uchuimi ni kuuza vidumu vya mafuta ya alizeti.hivyo vyaweza jenga barabara za lami? Kilomita moja tu ya lami inasoma Gharama ya bilioni moja .Hivyo vidumu vya alizeti vyaweza jenga barabara na kulipa mishahara ya wafayakazi wa jimbo?
Afafanue pia kuhusu gharama za kuendesha jimbo asilaghai tu ohh mujiamulie wenyewe!!!
Ukimsikiliza uaona kabisa mlaghai kwenye gharama Za uendeshaji na za miradi ya maendeleo zitakako toka hagusi anahamia hoja nyingine mbio
Ndiyo sababu nakuambia siku zote kwamba wewe ni pumbavu kwa kuwa hujui kama hujui, huwezi kujifunza na hujui kwamba wewe ni lijinga tu. Ishia kule.