Uchaguzi 2020 Lissu asema atafuta vitambulisho vya machinga kwasababu elfu ishirini wanayotozwa ni wizi mtupu, haijulikani inaenda wapi

Mtu mwenye mtaji wa sh 20000 unamtozaje sh 20000 tena?
 
Bila kujua hivi vitendo vya kutoa propaganda za kijinga ndivyo vinawafanya watu waone CCM mbaya.
Kwa nini mnataka kuwafanya machinga na wenye boda ni vijana wajinga wakati wana masikio na wamemsikia Lissu kasema nini?

Hii ni gharika!.
 
Safari hii mtasemea kiunomi mnawaibia Wamachinga 20,000/= za bure
 
Khe! sikujua kuna Rebeca mwingine humu..πŸ™πŸ™πŸ™
 
Afu nawe Kuna mtu anakuita baba sijui mama, kweli tuna safari ndefu Sana kichwani kuwa mahala sahihi pa kufikiria.
 
Mtu mwenye mtaji wa sh 20000 unamtozaje sh 20000 tena?
Tanzania huru itajengwa na watanzania wenyewe na sio misaada kutoka nje, nakushangaa wewe unayelalamika kuwa 20000 ni nyingi kulipwa kwa zaidi ya mwaka ambayo ukipiga makato ya kila siku ni chini ya shilingi miamoja. hata wenyewe machinga hawajawai kulalamikia kuhusu iliisipokuwa nyinyi mnaona mmepata platform ya kuongelea.
 
Ule ni wizi wa jiwe na makonda..mtu ana mtaji wa sh 20,000/= unamtoza tena sh 20,000/= je huo sio wizi?
 
Lissu kasema yeye itakuwa bure siyo tena kuwatoza 20000 huo ni wizi mtupuuuuu
 
Upotoshaji wa ukweli, Lissu endelea kuchanja mbuga tupo nyuma yako.
 
Lisu na chadema yake wanazidi kijichimbia kaburi
 
Wewe ni mchochezi daraja la juu kabisa!
 
Unasema.
 
Dada asubuhi hii tafuta kijanaa akupige mkuyenge ulaleee..
 
Ule mkutano wa Tunduma ulihudhuriwa na Wamachinga ambao walimpokea na kumshangilia alipowapa speech. Kama angewatangazia kiama wangeshangilia?
 
Lissu anataka wamachinga wasifanye biashlaral? Huyu hafai uyu
 
Mwaka wa uchaguzi tutasikia upumbavu mwingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…