Lissu, CHADEMA katika mapito sahihi ya ukombozi. Wananchi na dunia iko pamoja nanyi!

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,775
Reaction score
46,063
Haya ni yale tuliyokuwa tumeyakosa:

Your browser is not able to display this video.


Kumaanisha tunachosema.

Kwa hakika washikie hapo hapo Kila mpenda haki aliyepo hawezi kusita kuwa nasi:







Mungu mbariki TAL, Mungu ibariki CHADEMA na Mungu ibariki Tanzania.
 
Watanzania wajifunze kupambana vita zao nguvu wanao ya kutosha tuache tabia ya kutegemea external donors ili kutupambania haki Zetu human rights, hivi tuna shida gani?
 

Mungu mbariki TAL, Mungu ibariki CHADEMA na Mungu ibariki Tanzania.πŸ“ŒπŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺπŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…