Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Lissu na watanzania watalipa gharama kubwa sana kwa upumbavu wa kudharau viongozi wazalendo kipindi cha JPM ....tukitumia akili mtajua kuwa Lissu ana uwezo mdogo sana wa kuona mbele, tujiulize je Nyerere angekuwa hai angempinga JPM ? ...Tumtizame mtu kama Mtikila alivyo kuwa anaichukia CCM ila alimuunga mkono JPM kabla hata ajawa Rais ...hii inamaana kuwa Mtikila alikuwa na AKILI NZURI YA KUTAMBUA KIONGOZI NA UZALENDORais wangu bora kabisa huyu kuwahi kutokea nchini.
Ulinzi wa mtuhumiwa siyo kwaajili ya yeye kutoroka tu analindwa ili asidhuriwe pia, akipata madhara hapo utakuja tena kuuliza kwanini hakuwekewa ulinziHuo ulinzi ni vitisho kwa wananchi na chadema au wanalinda nini hapo?
Lisu aliisha kuwa mlemavu kukimbia hawezi, watu hawaruhusiwi hata kusogelea eneo la mahakama zaidi ya walio ruhusiwa ndani.
Sasa analindwa au wanamtisha au ni utaratibu kisheria kwa watuhumiwa wa uhaini kulindwa hivyo?
Kipindi cha utawala wa mzalendo wako magufuli ndo kipindi lisu alipigwa risasi, ndg ungekua wewe ungempenda mtu kama huyo?Lissu na watanzania watalipa gharama kubwa sana kwa upumbavu wa kudharau viongozi wazalendo kipindi cha JPM ....tukitumia akili mtajua kuwa Lissu ana uwezo mdogo sana wa kuona mbele, tujiulize je Nyerere angekuwa hai angempinga JPM ? ...Tumtizame mtu kama Mtikila alivyo kuwa anaichukia CCM ila alimuunga mkono JPM kabla hata ajawa Rais ...hii inamaana kuwa Mtikila alikuwa na AKILI NZURI YA KUTAMBUA KIONGOZI NA UZALENDO
Hilo swali ...jibu tayari Lissu analo na anajutia upumbavu wake wa kuwaletea wanamtandao hadi kupigwa risasi ...lisu ana uchungu sana na walio mtumia hadi akapigwa risasi na hao hao leo ndiyo wamemtua jela .. samia alitoka mbio kumtizama kibaraka wao kule Nairobi baada ya kuchapwa shaba leo Samia ndiyo kamtupa jela tofauti hata na JPM maana wakati wa JPM LISSU ALIFANYA KAMPENI NCHI NZIMA BILA YA BUGUDHAKipindi cha utawala wa mzalendo wako magufuli ndo kipindi lisu alipigwa risasi, ndg ungekua wewe ungempenda mtu kama huyo?
Pole sanaMtikila alivyo kuwa anaichukia CCM il
Kawatetea lini na wapi? Mbona unaongea upumbavu. Lissu hajawahi kutumika, yeye alimpinga JPM sababu ya udikteta wake wala sio kingine.anajutia upumbavu wake wa kuwaletea wanamtandao hadi kupigwa risasi ..
Hii kesi serikaliLissu ni mtu na nusu, anapewa pressure kubwa lakini bado yuko imara kabisa...hapo anaenda kutoa darasa la sheria kwa mawakili vilaza wa serikali!.
Acha uongo, unadhani hatukuwepo. Lissu alizuiwa kufanya mikutano Mtwara na Lindi alafu unasema hakubugudhiwa?wakati wa JPM LISSU ALIFANYA KAMPENI NCHI NZIMA BILA YA BUGUDHA