Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 1,271
- 1,604
Lissu anafiti kwenye taaluma aliyonayo ya sheria lakini hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa chama chochote cha siasa.
Lissu ni mlopokaji, ana lugha mbovu ni mtu ambaye hana utulivu, busara ndiyo kakosa kabisa. Ni mtu ambaye anapenda machafuko katika nchi, ana amini maandamano ya wananchi ni NJIA pekee ya kufikia malengo.Lisu hamfikii hata Rungwe Mzee wa ubwabwa