Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 1,271
- 1,604
100%Lisu anafiti kwenye taaluma aliyonayo ya sheria laki hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa chama chochote cha siasa.Lisu ni mlopokaji,ana lugha mbovu ni mtu ambaye hana utulivu busara ndiyo kakosa kabisa.Ni mtu ambaye anapenda machafuko katika nchi,ana amini maandamano ya wananchi ni NJIA pekee ya kufikia malengo.
Wewe umeanza kunya kabisaMmetoka lunch, mmeanza kujamba
Lissu namkubali katika njanja Fulani lakini siyo uenyekiti wa chama hawezi kumfikia hata Mzee wa ubwabwaNi kujiandaa Kisaikolojia.
Lissu ndiye the next Chairperson wa CDM.
Tafuteni kazi za kufanya ,uchawa sio kaziLissu anafiti kwenye taaluma aliyonayo ya sheria lakini hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa chama chochote cha siasa.
Lissu ni mlopokaji, ana lugha mbovu ni mtu ambaye hana utulivu, busara ndiyo kakosa kabisa. Ni mtu ambaye anapenda machafuko katika nchi, ana amini maandamano ya wananchi ni NJIA pekee ya kufikia malengo.Lisu hamfikii hata Rungwe Mzee wa ubwabwa