Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
"Katiba yetu ilivyoandikwa zile zinazoitwa haki za kikatiba zinaanzia Ibara ya 12 mpaka Ibara ya 29: Haki ya Kuishi, Haki ya kuwa huru, haki ya maoni, haki ya kushiriki shughuli za umma nakadhalika, hizo zinazoitwa haki za binadamu ndizo haki za kikatiba, kama kuna kitu hakijaandikwa kuanzia hiyo Ibara ya 12- 29 ya katiba hiyo siyo haki ya kikatiba.
Ukienda mahakamani ukasema nimekataliwa kuandikishwa kupiga kura, nimenyimwa haki yangu ya kikatiba, Mahakama Kuu itakutupa nje kwasababu hiyo inayoitwa haki ya kupiga kura haipo katika zile ibara nilizozisema, maana yake ni kwamba tumewekewa inayoitwa haki lakini hatuna namna yoyote ile ya kuitekeleza, tukinyimwa hatuwezi kwenda mahakamani hatuwezi kwenda popote kwasababu siyo haki ya kikatiba.
Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Matokeo yake katika hali halisi ni nini? Ni kwamba hatuandikishwi kuwa wapiga kura kama sheria ya uchaguzi inavyosema. Sheria ya uchaguzi inavyosema