"Katiba yetu ilivyoandikwa zile zinazoitwa haki za kikatiba zinaanzia Ibara ya 12 mpaka Ibara ya 29: Haki ya Kuishi, Haki ya kuwa huru, haki ya maoni, haki ya kushiriki shughuli za umma nakadhalika, hizo zinazoitwa haki za binadamu ndizo haki za kikatiba, kama kuna kitu hakijaandikwa kuanzia hiyo Ibara ya 12- 29 ya katiba hiyo siyo haki ya kikatiba.
Ukienda mahakamani ukasema nimekataliwa kuandikishwa kupiga kura, nimenyimwa haki yangu ya kikatiba, Mahakama Kuu itakutupa nje kwasababu hiyo inayoitwa haki ya kupiga kura haipo katika zile ibara nilizozisema, maana yake ni kwamba tumewekewa inayoitwa haki lakini hatuna namna yoyote ile ya kuitekeleza, tukinyimwa hatuwezi kwenda mahakamani hatuwezi kwenda popote kwasababu siyo haki ya kikatiba.
Nampinga Lissu. Yeye mwenyewe kwa mujibu wa maandishi yako, mmeitaja Haki ya Kushiriki Shughuli Za Umma. Ni maoni yangu kuwa Kupiga Kura Ni Shughuli ya Umma na hivyo kila Mtanzania ana haki hiyo.

Haki ya mikutano ya kisiasa na maandamano ipo kwenye haki ya kushiriki shughuli za umma kwenye katiba, lakini polisi CCM na majangiri ya CCM hawajali na hawafuati sheria, hata kupiga kura ni wizi mtupu
"Katiba yetu ilivyoandikwa zile zinazoitwa haki za kikatiba zinaanzia Ibara ya 12 mpaka Ibara ya 29: Haki ya Kuishi, Haki ya kuwa huru, haki ya maoni, haki ya kushiriki shughuli za umma nakadhalika, hizo zinazoitwa haki za binadamu ndizo haki za kikatiba, kama kuna kitu hakijaandikwa kuanzia hiyo Ibara ya 12- 29 ya katiba hiyo siyo haki ya kikatiba.
Ukienda mahakamani ukasema nimekataliwa kuandikishwa kupiga kura, nimenyimwa haki yangu ya kikatiba, Mahakama Kuu itakutupa nje kwasababu hiyo inayoitwa haki ya kupiga kura haipo katika zile ibara nilizozisema, maana yake ni kwamba tumewekewa inayoitwa haki lakini hatuna namna yoyote ile ya kuitekeleza, tukinyimwa hatuwezi kwenda mahakamani hatuwezi kwenda popote kwasababu siyo haki ya kikatiba.
Matokeo yake katika hali halisi ni nini? Ni kwamba hatuandikishwi kuwa wapiga kura kama sheria ya uchaguzi inavyosema. Sheria ya uchaguzi inavyosema