Utafiti : 60%--70% ya Wakristo hapa Tanzanian watapigia kura CHADEMA
70%--80% ya Waislamu wenzangu watapigia kura CCM
Hii inaashiria ushindi wa kidhindo kwa CCM pamoja na kua:--
1 kuna masheikh wengi wapo gerezani wanateswa bila kupelekwa mahakamani
2 nyadhifa serikalini kwa Sasa waislamu ni 18%-20% tofauti wakati wa Jakaya waislamu serikalini walikua 30%
3 kwa miaka mitano Ya Magufuli waislamu wengi wameshikiliwa kwa tuhuma za ugaidi hapa Tanzania kuliko Afghanistan na Iraq
Sheikh Issa Ponda Ambae ni mwanaharakati wa kiislamu baada ya kutoa waraka wa maimamu Sasa hivi anaendesha BMW mpya kawatelekeza masheikh waliopo jela hivi Sasa ni mwanaharakati mkubwa wa JPM
Waislamu wenzangu nini shida yetu?
Elimu na umasikini
Ukiongelea waislamu Tanganyika inamaana unazungumzia jamii masikini na darasa la 7
Suhanallah Wabihamdi
Suhanallah Aladhiim