Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Kuiongoza CHADEMA siyo suala la Mihemuko wala Uropokaji wala ukurupukaji wala matamko wala makelele yasiyo na mpangilio.
Kuiongoza CHADEMA inahitaji Mwenyekiti aina Ya Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini.Mwenye utulivu wa akili na umakini,mwenye kujua wakati gani azungumze na wakati gani awe na subira, mwenye kujua kipi kizungumzwe kwenye vikao na kipi kisubiri wakati muafaka.
CHADEMA haihitaji Mtu aina ya lissu kuwa Mwenyekiti wake kwa sababu huyu mtu ni Mropokaji, mkurupukaji,mwenye Mihemuko,asiye na breki ya mdomo wala subira wala uvumilivu. Huyu lissu ukimpa chama hata kwa mwezi mmoja tu ataacha amekipasua,kukigawa ,kukivuruga na kukisambaratisha kwa mdomo wake.
Atatoa matamko yenye kuleta na kuchochea taharuki ,ubaguzi na hisia za kutengwa kwa baadhi ya wanachama.atapandikiza chuki kubwa sana kwa chama.mpaka kuisha kwa Mwezi mmoja atakuwa amekisambaratisha chama na hakutakuwa na umoja wa chama.
Chama kitagawanyika mapande mapande na kila mtu atakuwa msemaji wa chama na kila mtu atakuwa anafyatuka kivyake kwenye camera na vyombo vya habari.chama kitakosa nidhamu na utaratibu na hakutakuwa na wa kumheshimu wala kumsikiliza mwenzake.
Wana CHADEMA ni uamuzi wenu kusuka au kunyoa. Mkimchagua lissu mjue kuwa mmekiua na kukichimbia kaburi chama.Lissu hana uwezo wala hastahili kuongoza chama kama CHADEMA.Lissu ni wa kuongozwa na siyo kuwa mtu wa mwisho juu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.