Lissu hana uwezo wa kuiongoza CHADEMA hata kwa mwezi mmoja tu. Ataipasua na kuigawa kwa mdomo wake usio na breki

Bora utulie tu Lucas, chadema wanaenda kumchagua awe mwenyekiti wao, hakuna kitakachoshindikana
 
Wewe huna akili hata ya kufuga kuku tu. Mzazi wako aliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe nyingine. Shetani mkubwa. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Huyu mtu anaishi nchi gani mbona anaenda against the tile?
 
Huoni kama kwako ni faida CHADEMA ikigawanyika ili wewe CCM uendelee kuwashinda bila kutumia nguvu????
CCM haina mshindani wala wa kushindana nayo. CCM ni chama kiongozi na kioo kwa vyama vingine .ndio maana tunawasaidieni.
 
Mangi kachoka ila anafosiwa tu .Jana nimemsikiliza lema wamwachie tu mnyampaa nae tuone mbwembwe zake
 
Sidhani CCM inamwogopa Lissu,wao wanamwona kama kituko.
Wamuogope kwa lipi wakati hao CCM waitawala nchi tokea uhuru,wao ndio wenye serikali yaani dola, wao ndio chama kikubwa kuliko chama kingine.Wao hawana tatizo la ukwasi kwani matajiri wakubwa ndio wadhamini wa CCM.
 
Mbowe anafaa?.
 
Kama yule wa kipnd kile alipewa tiketi ya kupeperusha bendera Sina wasiwasi
 
Mkuu Lucas wana ccm kwa sasa mnaimba na kucheza wimbo wa Mbowe.
 
Kwa hiyo mnamtaka nani?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…