Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Watu wanaandikiana barua za kuomba mamilion wewe unahangaika na vibarua vya mawala, umasikini wa akili, tafuta sababu nyingine siyo hiyo we mkutugenzi uchwara
Ila kiufupi wanatia hasira. Wanahubiri amani bado wanafanya ushenzi wa namna hii.Hapa Tanga imekuwa mbinde sana kuwaapisha.