Pre GE2025 Lissu kashinda tu tunaona intaneti imeanza kusumbua! Yale ya 2020 yanaenda kujirudia tena 2025? Hakikisha una VPN ya maana

Pre GE2025 Lissu kashinda tu tunaona intaneti imeanza kusumbua! Yale ya 2020 yanaenda kujirudia tena 2025? Hakikisha una VPN ya maana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Ni mimi tu nime-notice kuwa kipindi ha Uchaguzi wa CHADEMA na baada ya Lissu kushinda spidi ya Intaneti imekuwa slow sana.

Ku-access imekuwa ni ngumu na siku hiyo ambayo mkutano mkuu wa CHADEMA ulikuwa unaendelea ilikuwa ni shida sana kuweza ku-stream tukio hilo.

Nakumbuka the same thing happened kwenye Uchaguzi wa mwaka 2020 pamoja na kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Ni mpaka lini juhudi za kuzima intaneti kwenye matukio ya kitaifa hasa yanayohusu siasa za nchi zitakoma?

Yaani kama Uchaguzi wa CHADEMA tu umekuwa hivyo, hali itakuwaje kwenye Uchaguzi Mkuu?

Tuandaeni VPN zetu wakuu.

SOMA PIA
 
Back
Top Bottom