Uchaguzi 2020 Lissu kiboko, anamaliza kampeni bila kutoa ahadi ya hata Kilomita 1 ya lami

Uchaguzi 2020 Lissu kiboko, anamaliza kampeni bila kutoa ahadi ya hata Kilomita 1 ya lami

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Kwa Mara ya kwanza katika historia ya upinzani mgombea urais Tundu Lissu ameshiindwa kutoa ahadi ya hata KM moja ya barabara.

Maoni yamekuwa mengi kutoka kwa wapiga kura huku wengi wakidai kuwa hajui barabara nyingi kutokana na kukaa nje kwa muda mrefu.

Pia Chadema kwa mara ya kwanza Hanna sehemu yoyote katika jukwaa lao walipoituhumu CCM kwa ufisadi, kweli mambo yanakimbia sana.
 
Miaka 60 ya CCM madarakani
JamiiForums1071082784.jpg
 
Kwa Mara ya kwanza katika historia ya upinzani mgombea urais Tundu Lissu ameshiindwa kutoa ahadi ya hata km moja ya barabara.

Maoni yamekuwa mengi kutoka kwa wapiga kura huku wengi wakidai kuwa hajui barabara nyingi kutokana na kukaa nje kwa muda mrefu.

Pia Chadema kwa mara ya kwanza Hanna sehemu yoyote katika jukwaa lao walipoituhumu CCM kwa ufisadi, kweli mambo yanakimbia sana.
Haki uhuru na maendeleo ya watu. Everything here inclusive.

Hatuna longolongo. Ni kazi tu.
 
Kweli CCM imewafanya akili zenu zidumae, kwa iyo kwa upeo wako unaona barabara ndo jambo la kuongelewa na Raisi kwenye kampeni?

Barabara, Maji na Shule kiujenzi ni majukumu ya msingi ya serikali yeyote ile hata iwe ya chizi.

Kwenye kampeni watu wanajadili mfumo wa elimu, mfumo wa afya, mfumo wa pensheni, uchumi, ajira, Sera ya mambo ya nje, kodi na uwekezaji.

Ndo mana tukisema hapo Lumumba mmejaa vilaza muwe mnatuelewa
 
Kweli Ccm imewafanya akili zenu zidumae, kwa iyo kwa upeo wako unaona barabara ndo jambo la kuongelewa na Raisi kwenye kampeni????

Barabara, Maji na Shule kiujenzi ni majukumu ya msingi ya serikali yeyote ile hata iwe ya chizi.

Kwenye kampeni watu wanajadili mfumo wa elimu, mfumo wa afya, mfumo wa pensheni, uchumi, ajira, Sera ya mambo ya nje, kodi na uwekezaji.

Ndo mana tukisema hapo Lumumba mmejaa vilaza muwe mnatuelewa
Msamehe tu akili hanaga huyu mbona
 
Wewe mbona una kwako kwa miaka Mingi Sasa lakini bado huwezi kuilisha familia yako tu Milo mitatu kwa Siku?

Watanzania punguzeni unafiki.
Uko kuweza kulisha kwake kwa milo mitatu ndio tunako kuongelea kwamba maendeleo lazima yaendane na watu.

Sasa ajira hutoi, mishahara huongezi, unakamata vijana unafunga miaka 30 jela, Unafukuza shule watoto wakike waliojifungua, unabambikia watu kesi, unaongeza kodi kila uchochoro wakati wewe mwenyewe hulipi, Unachota fedha za Umma kadri unavojiskia tena bila maelezo yoyote wala hutaki kuhojiwa!!

Kwa hali kama izo raia ataitolea wapi milo mitatu?

Muwe mnaelewa, kila mkiambiwa vilaza ndio mnaona sifa!
 
Miaka 60 ya Uhuru unatoa ahadi ya barabara upumbavu!!!

Wakati unajuwa automatically zitajengwa hata usipotoa ahadi.

Tunataka mitazamo mipya na mambo yanayohusu maendeleo ya watu.

Watu wajiamulie maendeleo yao sio kuamuliwa.

Na wakina Jiwe, Makonda na dotto James.
Marekani ilijenga barabara za kuunganisha majimbo yake kuanzia mwaka 1956. Karne kadhaa baada ya kuwa huru.
 
Kwa Mara ya kwanza katika historia ya upinzani mgombea urais Tundu Lissu ameshiindwa kutoa ahadi ya hata KM moja ya barabara.

Maoni yamekuwa mengi kutoka kwa wapiga kura huku wengi wakidai kuwa hajui barabara nyingi kutokana na kukaa nje kwa muda mrefu.

Pia Chadema kwa mara ya kwanza Hanna sehemu yoyote katika jukwaa lao walipoituhumu CCM kwa ufisadi, kweli mambo yanakimbia sana.
Hiki ndicho alichokisema Ndugu yangu Machanda Mukandamijaji

Nami kumripoti humu jf
P
 
Back
Top Bottom