MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Haki uhuru na maendeleo ya watu. Everything here inclusive.Kwa Mara ya kwanza katika historia ya upinzani mgombea urais Tundu Lissu ameshiindwa kutoa ahadi ya hata km moja ya barabara.
Maoni yamekuwa mengi kutoka kwa wapiga kura huku wengi wakidai kuwa hajui barabara nyingi kutokana na kukaa nje kwa muda mrefu.
Pia Chadema kwa mara ya kwanza Hanna sehemu yoyote katika jukwaa lao walipoituhumu CCM kwa ufisadi, kweli mambo yanakimbia sana.
Wewe mbona una kwako kwa miaka Mingi Sasa lakini bado huwezi kuilisha familia yako tu Milo mitatu kwa Siku?Yaani nchi ina miaka 62 bado tuzungumze lami?
Atakua anatega panya huyo maza[emoji16][emoji16]Miaka 60 ya CCM madarakaniView attachment 1611059
Msamehe tu akili hanaga huyu mbonaKweli Ccm imewafanya akili zenu zidumae, kwa iyo kwa upeo wako unaona barabara ndo jambo la kuongelewa na Raisi kwenye kampeni????
Barabara, Maji na Shule kiujenzi ni majukumu ya msingi ya serikali yeyote ile hata iwe ya chizi.
Kwenye kampeni watu wanajadili mfumo wa elimu, mfumo wa afya, mfumo wa pensheni, uchumi, ajira, Sera ya mambo ya nje, kodi na uwekezaji.
Ndo mana tukisema hapo Lumumba mmejaa vilaza muwe mnatuelewa
Uko kuweza kulisha kwake kwa milo mitatu ndio tunako kuongelea kwamba maendeleo lazima yaendane na watu.Wewe mbona una kwako kwa miaka Mingi Sasa lakini bado huwezi kuilisha familia yako tu Milo mitatu kwa Siku?
Watanzania punguzeni unafiki.
Marekani ilijenga barabara za kuunganisha majimbo yake kuanzia mwaka 1956. Karne kadhaa baada ya kuwa huru.Miaka 60 ya Uhuru unatoa ahadi ya barabara upumbavu!!!
Wakati unajuwa automatically zitajengwa hata usipotoa ahadi.
Tunataka mitazamo mipya na mambo yanayohusu maendeleo ya watu.
Watu wajiamulie maendeleo yao sio kuamuliwa.
Na wakina Jiwe, Makonda na dotto James.
Hiki ndicho alichokisema Ndugu yangu Machanda MukandamijajiKwa Mara ya kwanza katika historia ya upinzani mgombea urais Tundu Lissu ameshiindwa kutoa ahadi ya hata KM moja ya barabara.
Maoni yamekuwa mengi kutoka kwa wapiga kura huku wengi wakidai kuwa hajui barabara nyingi kutokana na kukaa nje kwa muda mrefu.
Pia Chadema kwa mara ya kwanza Hanna sehemu yoyote katika jukwaa lao walipoituhumu CCM kwa ufisadi, kweli mambo yanakimbia sana.