Haswaa fikiria nawewe wakati unajibu hoja. Kama mbunge mmoja wa chadema aliweza kuibua hoja nzito ambapo wabunge 200 wa ccm hawakuiona, vipi wakiwa 22?Uwezo mdogo wa kutambua..... 200 kwa kitu gani!!!! mbuge wa singida anawatumikia watu wa singida kwa maendeleo ya singida na sio kuleta porojo ka za waliokuwa vunjo, hadi tumeamua kumrudisha mzee wa mila.....
FIKIRIA WAKATI UNALINGANISHA .......
Kwa umakini walio nao wabunge wapya wa chadema nina imani watalitawala bunge kwa 90%, maana wabunge walioingia tripu hii wamenikonga moyo, MDEE MNYIKA MBOWE,KABWE, LISU,ktk safu ya ushambuliaji huwa hawafanyi makosa kabisa halafu kati kuna akina WENJE LEMA NDESAPESA,KAFULILA,MH, safari hii najua bungeni lazima tutashuhudia ngumi live, na haswa ukizingatia wabunge wote wa ccm wengi wanakabiliwa na magonjwa ya kisasa kama presha kisukari umeme na kiharusi, tusubiri vioja trip hii
je!! mzee mrema
Wana JF tuwe macho!, Tayar chadema imo mjengoni, itafika wakat JK na NEC wajutie maamuz yao ya kuchakachua matokeo ya wananchi. Ki ukwel hatoliweza wala hatoweza kuukabil moto unaokwenda kuwaka mjengoni, atatamani km uchaguzi ungerudia na kumruhusu SLAA apite bila kupigwa. Ole wake na baraza lake mana kufa kwao kwaja, LAZIMA KIKOMBE HICHO WAKINYWEE MANA WALIYATAKA MWENYEWE! Ni ACID imemwagwa mjengon ili kuteketeza kizazi cha mafisadi!
umemsahau mzee wa kazi shibuda. bungeni lazima pachimbike. ccm mbona watatapika nyongo
je!! mzee mrema
Wapi? wakati Dar Leo juzi waliandika kwamba jama anataka JK ampe uwaziri. So i don't know...mrema sijui atakuwa kundi gani ila baada ya kushinda alipohojiwa alisema kuwa mafisadi wajiandae amnake patachimbika
Nadhani wewe umekwisha jiunga nao na utafaidika sana kwa kuisaliti nchi yako kwa ajili ya njaa ya siku moja. Lakini laana na dhahama yake ni kubwa na hautaweza kujitetea mbele ya Muumba atakapokuuliza ulipoona CCM wanaitumbukiza nchi niliyokupa motoni ulichukua hatua gani? Jibu lako niliona kuwa wewe unavuna usipopanda, unakusanya usipotawanya na hivyo nikaona nijiunge na wadhalimu ili nami niwe mdhalimu kama wao. Sitaki kusema hukumu yake ni nini kwani unaijua. Nenda tu ndugu yangu kajiunge na wadhalimu.kaka/dada, hakuna kitu kitakachofanyikan kwa hao wapinzani unaowafikilia, after all, mambo ya ufisadi yote yameshazungumzwa atayeyaibua ataonekana mzushi tu,hata hivyo kama wameshika dora kila kitu wanakiweza, nani atakayeruhusu mijadala kama si spika na spika ni wa SISIEM, kazi imeshaisha, mijadala mizito inaminywa tu.
Unajua katika maisha kama unashawishi watu halafu hawakuungi mkono hata kama yale unayoyasema ni ya kweli unachotakiwa kufanya ni kujiunga nao, kwa hiyo bandugu tujiunge na SISIEM mpaka hapo 2015, na maisha tuyapeleke kama serikali iliyo madarakani ilivyoyaset, Na TUMWAMINI MSHINDI ataweza na atarekebisha mapungufu, wale wanaotuhumiwa tusiwawaze tuanze upya wasije wakatokea wengine wa kutuhumiwa, TANZANIA tutasonga. Naamini maneno ya Mkandala kwamba serikali ya awamu hii itakuwa sikivu, Tuamini Bandugu.
Mi nategemea utofauti, kama huamini subili.