Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Ni maneno ya siku Nyingi hayo!Kama mnakumbuka 2016 mheshimiwa Tundu Lissu Rais wa awamu YA 7 alianzisha hili neno uchwara Kwa kumuita dikteta uchwara.
Na sasa hivi askofu wa kanisa la uzima na ufufuo ndugu Josephat Gwajima Kaja na ponjoro.
View attachment 3381205
Kwahiyo mada tayari, sio?Kama mnakumbuka 2016 mheshimiwa Tundu Lissu Rais wa awamu YA 7 alianzisha hili neno uchwara Kwa kumuita dikteta uchwara.
Na sasa hivi askofu wa kanisa la uzima na ufufuo ndugu Josephat Gwajima Kaja na ponjoro.
View attachment 3381205
Kabisa afute mapema sanaUchwara na ponjoro ni maneno mapya!??? Futa hii