PiedPiper77
Senior Member
- Jan 8, 2025
- 146
- 196
Kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA 2025 kinafanyika muda katika makao makuu ya chama yaliyopo Mikocheni, ambapo viongozi wakuu, Freeman Mbowe na Tundu Lissu, wakutana uso kwa uso. Huu ni mkutano muhimu unaojadili masuala mbalimbali yanayohusu mustakabali wa chama kuelekea kesho Januari 21 kwenye Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chama Taifa.
Baada ya chama Cha Mapinduzi CCM kukamilisha Vikao vyake Jana Leo chama kikuu Cha Upinzani CHADEMA kinaanza Vikao vyake vya kikatiba Leo.
Usiondoke Jf kwa ujanja zaidi wa habari,
Baada ya chama Cha Mapinduzi CCM kukamilisha Vikao vyake Jana Leo chama kikuu Cha Upinzani CHADEMA kinaanza Vikao vyake vya kikatiba Leo.
Usiondoke Jf kwa ujanja zaidi wa habari,